Monday, February 1, 2016

Wanachama wa RGF walipotembelea Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Rugambwa 21 Novemba, 2015

 Mama Kashushura Headgirl (kushoto) wa kwanza katika shule ya Sekondari  ya Wasichana Rugambwa mwaka 1965 akiwa na Dorothy Magesse
 Dorothy Magesse
 Wanafunzi wa Rugambwa Sekondari
 
 Kutoka kushoto ni Georgia George, Kagemulo Lupanka (Head Mistress), Mama Kashushura (Headgirl  1965), Dorothy Magesse na Flora Walubele, wote hao waliosoma Rugambwa Sekondari.
Picha ya Muadhamu  Kardinali Laurean Rugambwa ambaye ndiye muasisi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Rugambwa (Mola ailaze Roho yake Pahala Pema Peponi)



 
 
 
 
 
 Mkuu wa Shule



 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment