Tuesday, November 10, 2015

Team Rugambwa Girls Foundation kanda ya Bukoba walipokutana kwa ajili ya chakula cha jioni 13 July 2015

Wana RGF walipokutana Bukoba mjini nyumbani kwa Georgia Baby George kwa ajili ya chakula cha usiku na kubadilishana mawazo juu ya  Foundation yetu. Waliokuwepo ni Jeneviva Lugumamu, Jesca Rwebangira (Mrs. Baitani), Tiliphina Bachwaki, Georgia Baby George, Agripina Kalabam na Jadida Hussein Kichwabuta


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment