Wana RGF walipokutana Bukoba
mjini nyumbani kwa Georgia Baby George kwa ajili ya chakula cha usiku na
kubadilishana mawazo juu ya Foundation
yetu. Waliokuwepo ni Jeneviva Lugumamu, Jesca Rwebangira (Mrs. Baitani),
Tiliphina Bachwaki, Georgia Baby George, Agripina Kalabam na Jadida Hussein
Kichwabuta





























0 comments :
Post a Comment